2023
DOI: 10.4314/kcl.v20i2.3
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Dhima ya nyimbo za Kiswahili za watoto katika kujifunza mazingira

Abstract: Nyimbo ni fani kongwe na ya mwanzo kabisa ya fasihi simulizi kutumiwa na binadamu katika kupambana na mazingira yake. Kwa ujumla, nyimbo ni fani ya fasihi simulizi ambayo hutumika katika hatua na nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Mojawapo ya vipera vyake ni nyimbo za watoto. Nyimbo hizo, pamoja na mambo mengine, zina hazina kubwa ya mafunzo katika kuyaelewa mazingira ya jamii husika. Mazingira ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu (na mwenyewe akiwamo). Hujumuisha wanadamu, wanyama, mimea, bahari, mawi… Show more

Help me understand this report

This publication either has no citations yet, or we are still processing them

Set email alert for when this publication receives citations?

See others like this or search for similar articles