Abstract:Lengo kuu la makala haya ni kuchunguza maudhui ya tamthilia ya kitanzania kaptula la marx kupitia tashtit. Makala haya yanalenga kutathmini maudhui yanayojitokeza kwenye tamthilia hiyo na ni kweli kuwa tamthilia hii ina umuhimu wa kimaudhui na kifani, na inaakisi uhalisia wa mambo katika jamii katika kipindi cha muhimu kwenye historia ya nchi husika. Madhumuni mahsusi ya makala haya ni kuchambua maudhui ya tamthilia ya tajwa ili kuona hatua za maendeleo kimaudhui zilizofikiwa katika tamthilia. Data za utafiti … Show more
Set email alert for when this publication receives citations?
scite is a Brooklyn-based organization that helps researchers better discover and understand research articles through Smart Citations–citations that display the context of the citation and describe whether the article provides supporting or contrasting evidence. scite is used by students and researchers from around the world and is funded in part by the National Science Foundation and the National Institute on Drug Abuse of the National Institutes of Health.