2020
DOI: 10.51317/ecjkisw.v2i1.114
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Tathmini Ya Kipengele Cha Taashira Za Wahusika Katika Tamthilia Ya Kimani Njogu: Mfano Wa Zilizala

Abstract: Kazi hii inatathmini kipengele cha taashira za wahusika katika tamthilia ya Kimani Njogu. Katika baadhi ya kazi za kifasihi, aghalabu taashira hutumika kama mbinu ya kusana mambo yanayoathiri kitovu cha jamii au yanayoashiria viongozi wa kiimla, wafisadi, wakabila na wenye ubinafsi, na hata uongozi kwa jumla. Kazi hii ni zao la utafiti ulionuia kuchunguza vipengele vya taashira katika tamthilia ya Zilizala. Utafiti huu uliongozwa na nadharia mbili; nadharia ya baada ya ukoloni na nadharia ya umitindo. Katika t… Show more

Help me understand this report

This publication either has no citations yet, or we are still processing them

Set email alert for when this publication receives citations?

See others like this or search for similar articles