2024
DOI: 10.37284/jammk.7.1.1954
|View full text |Cite
|
Sign up to set email alerts
|

Ubunifu na Mwonoulimwengu wa Mwandishi: Mifano ya Kazi za Ken Walibora

Ibrahim Matin,
Simiyu Kisurulia

Abstract: Katika kazi ya fasihi, mawazo, mafunzo na falsafa ya msanii hubainisha msimamo wake kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii. Msimamo ni ile hali ya mwandishi kuamua kufuata na kushikilia jambo fulani. Jambo hili huweza kukataliwa na wengi lakini akalishikilia tu. Msimamo ndio huweza kuwatofautisha wasanii wawili au zaidi wanaoandika kuhusu mazingira yanayofanana. Hili ambalo msanii anashikilia sana ndilo tunaloita katika utafiti huu kuwa mwonoulimwengu wa mwandishi. Ni vyema kujiuliza ni mambo gani yanayomsukuma … Show more

Help me understand this report

Search citation statements

Order By: Relevance

Paper Sections

Select...

Citation Types

0
0
0

Publication Types

Select...

Relationship

0
0

Authors

Journals

citations
Cited by 0 publications
references
References 3 publications
0
0
0
Order By: Relevance

No citations

Set email alert for when this publication receives citations?