Abstract:Suala la ardhi limekuwa nyeti tangu jadi. Wahusika hutumiwa na wasanii kubainisha suala hili. Tafiti za awali zilijikita katika motifu ya safari, siri na maisha ya dunia. Hata hivyo, hakuna utafiti umefanywa kutathmini ujenzi wa motifu ya mgogoro wa ardhi kupitia wahusika. Makala hii imelenga kuziba pengo hili. Utafiti huu ni kutathmini ujenzi wa motifu ya suala la mgogoro wa ardhi kupitia wahusika; mfano kutoka Chozi la Heri na Kovu Moyoni. Motifu hii ni kurudiwarudiwa kwa suala la mgogoro wa ardhi baina ya w… Show more
Set email alert for when this publication receives citations?
scite is a Brooklyn-based organization that helps researchers better discover and understand research articles through Smart Citations–citations that display the context of the citation and describe whether the article provides supporting or contrasting evidence. scite is used by students and researchers from around the world and is funded in part by the National Science Foundation and the National Institute on Drug Abuse of the National Institutes of Health.